Picha hii itapigwa TAREHE 19 JULY 2026, Saa 3:00 Usiku katika uwanja wa MetLife, New Jersey mbele ya mashabiki 82,500 huku takribani watu Bilioni 1.7 wakifuatilia Duniani kote
Picha hii itapigwa TAREHE 19 JULY 2026, Saa 3:00 Usiku katika uwanja wa MetLife, New Jersey mbele ya mashabiki 82,500 huku takribani watu Bilioni 1.7 wakifuatilia Duniani kote
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa.
@DEUSDEDITHSOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi.
Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na amani wanafanya kazi zao kwa amani.
Unashindwa kupost hata picha ya Soka ukiogopa na ww utapotezwa?
Unaogopa kurepost post za Soka kwasababu utapotezwa?
Unahisi baada ya SOKA nani anafuata?
Hii hali unafikili itaendelea mpaka lini?
SHIRIKI KUKOMESHA UTEKAJI KWA KUREPOST , KUPOST POST ZA KUPIGANIA HAKI ZA KUISHI KWA AMANI WATU WANAONEKANA WAMENYIMWA HIYO HAKI.
REPOST 200 kwa Soka 🙏🏾
@TMnyama4_ Dangerous Day ni siku ya 14 tangu ameingia period, But kuna siku kama 3 hivi za emergency before and after yaan kuanzia siku ya 11 hadi 17 usishiriki (-3+) yaani Trial and error 3