Lakini nayo kusema tu ukweli, time yenye Babu aliregister party yake (TMP), Caleb Amisi (PM party), Natembeya (UPP), kwani Sifuna alikua anafanya nini? Ama pia Sifuna ni mamba mslow.
Wakenya nyinyi ni watu wa nguvu sana ๐
Thank you so much for the massive support.
Tuendelee kujisajili tujenge hii nchi pamoja. Dial *509# to be a member of our party.
Usiachwe nyuma! Registration imeanza kwa The Mwananchi Party (TMP). Dial *509#, then weka Party Code 050.
Ukimaliza weka screenshot hapo comments section...Usikue mamba mslow๐
Chama ya Mwananchi. ๐ฉต
๐ท @HEBabuOwino#TheMwananchiParty
Nation also saying that Babu Owino was asked to hand over The Mwananchi Party to Edwin Sifuna, but the Kisumu Boys old boy told them that omena cannot be good only when the boats returned without mbuta. They've since eaten fire and vowed to teach him things he already knows.
He is simply blamed for over performing ๐ ๐ ๐
The best MP ๐
And always being ahead of slogans and online yapping ๐๐๐
We will break that table