Hakuna Negotiation Ngumu Kama Ile Ya Maamuzi Kati Ya Daktari Na Familia Kuhusu Zoezi Ka Kuchomoa Mashine Ya Kupumulia Kwa Mgonjwa Alioko ICU, Baada Ya Kuona Hakuna Possibility Ya Kupona!!
Utaielewa Zaidi Hii Situation Kama Mgonjwa Ni Mtu Wako Wa Karibu Sana!!
#Mzazi#Mtoto#Mke #Mume π
@OfficialFad18 Ukitaka ndugu yako ahisi furaha kusoma Chuo Kikuu mwambie aje kusoma Tumaini University Dar es Salaam College - TUDARCo, licha ya ada kuwa kubwa lakini Tumaini raha sana sana...