@IAMGeorgesw@NjiwaFLow Kuna package za kulipia ambazo kwenye hizo android zingine hulipiii thats it wanakuja kudanganya wanasema hawazielewi wakati zimelenga maboss wanaojimudu
@Sisimizi3 BASHITE haziivi na GSM ambaye ni business partner na SANDALAND na rafiki yao NAIBU....so ni muendelezo wa bifu lao na last time GSM alienda direct kwa mwendazake na kumwambia kijana wako ananizingua anakuja ofisini anaforce kupewa ela akisema umemtuma kila siku na akapewa warning
@Benzinh0 Anakwambia lazima kawekwe kautaratibu ila all in all nchi haina hela hii na hajajiamulia yeye ni maelekezo maana huko nje tumepigwa sanctions za chini chini wao wenyewe wanazijua na Mungu wao
@Njamasi__ Huyo alikua naibu waziri wa kazi awamu hii mpya ya MAMA na bado kashindwa katenguliwa sahvi kabaki mbunge wa kawaida ndio maana bado ana sonona hivi
@princebetrody@MarekaMalili Najizuia nisikutukane ndugu...muwe mnasoma...katiba inasema ndani ya siku 14 kwa maana zisidi ila ndani ya muda huo...we huelewi nn ss