Kesho innshaallah niende zangu milimani mtoni kwenye yale maji yanayotembea nikaogelee nikitoka apo nisugue miguu kwenye yale mawe😌what a beautiful liiiiiffeee😊
Kuna watu HAWAKUTHAMINI kwa sababu bado hawajajua thamani yako lakini hiyo haimaanishi wewe hauna thamani.
Njia nzuri ya kushinda hili ni kuendelea kufanya kwa ubora wa hali ya juu hadi wanaodhani unabahatisha Wajue kumbe ndio ulivyo.📌