Kama kweli wanania ya kuwasaidia vijana waache kubeti wafute usajili wa hayo makampuni. Mnatengeneza wimbi kubwa la umaskini. Acheni unafiki chukueni hatua stahiki.
Kuna kauli nyingine zinatolewa na viongozi wa serikali zinafanya waonekane wanafiki na wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Serikali yenyewe imeruhusu michezo ya kubeti na makampuni ya kubeti yapo lukuki na Kodi wanakusanya wao.