@Sukayotz Ukweli ni kwamba Wakristo wengi tunaishi kwa kulilishwa,,, "Kwanza Unatakiwa ufaham Yesu alikuja kwa watu Gani na hao watu aliwapata vipi!?", Wakristo tujitahidini kusoma maandiko na Kisha kuelewa,,,
@millardayo Embu tuulize marekani wao Wana rasilimali Gani na mbona wako juu!?,,, alafu sisi wenye madini, misitu, gas, maziwa na mito, bandari,, Bado tunaziona chache!?, Mungu atupe viongozi wasio wabinafsi
Tuje tuumalize 2026, tutanyooka