@Naomikibandi Mulima is dividing... Since independence mulima has been one juu mkikuyu amekuwa Kwa 1st ama 2nd office,,, sasa ni mmeru lakini kikuyus hawatambui kama mtu wao wa mlima.... Let it be Mlima East and the rest.. hii ni warning Kwa watu yetu wa embu pia,,, red light,,
@Benarfa070@Paul_Muite Both... The stadium has put us on global spotlight... Ukora nayo hufanywa na watu wengi Kenya,,, sio leaders tu,,, hiyo pia ni an area of concern
@DrDennisOuma@edwinsifuna Huyu anaweza kuwa president wa Kenya at any point in his lifetime hii nchi inaisha to dust... Sio ukabila ama nini,, sote ni wakenya #tribeless,, ukiskiza @edwinsifuna walai huyu ni 100% haiwezi ongoza nchi
@DrDennisOuma@edwinsifuna@edwinsifuna is the one person who is never supposed to be a leader in any way... Huyu jamaa ni incompitent Kwa Kila kitu,, maybe anafikirianga kizungu mingi na mastopa za ujinga ndio leadership...
@muthoni_njakwe Mbona Kenya issues inakuwa kuhusu individuals juu ni leaders? Mbona tusikiwe tunaangalia kazi inafanyika Kwa ground na sio kusikiza personal life stories za Hawa so called leaders
@Man_vsMan@gitonga_mu012@KorosEmmanuelk@Paul_Muite How will people of Kenya extract their own resources in future kama sasa in present hawatakuwa wakitamgamana na hiyo tech inatumika. Tutasoma operations zake wapi, venye zimeundwa, tutakam aje up na better ones zenye zinameet our needs.
@picky_blinder_@Paul_Muite Kenya had no structure back then,, mbona umeamini story ya watu hawajakuwa compensated na opposition over story ya serikali kuwa watu wanlipwa waclaik land sio Yao,, pia government land?
@gitonga_mu012@KorosEmmanuelk@Paul_Muite Their own resources which they have no machinery and technology to convert them to money for the people of Lamu and Kenyans at large.
@MelchZedek66192@georgediano Internet never forgets,,, @georgediano posted from history.. naamini Ruto alisema hao brokers ana na ataendelea kuwasukuma waache kujali needs zao tu na wajali wakenya wote
@MelchZedek66192@georgediano You may say Ruto alikuwa in the former Regime, of which ni true, lakini mkubwa wake alikuwa Uhuru. Si highest power in Kenya ni the office of the president.