@BuxMsafi@MkulimaKante@moudyswaggz Sure, atakua born town huyoo kakulia Tanga mjini tu sasa anahis Tanga yote iko hivyoo, asogee tu hata hapo Handeni sehem moja inaitwa Chogo, alafu ateembe midnight aone upande wa pili wa shilingi๐
@moudyswaggz@MkulimaKante Brother mimi nazungumzia kilindi, siyo Tanga yote kwa ujumla, maana huko ndio lilitukuta jambo, siyo kwa story bali kwa ushuhuda binafsi na team tuliyokua nayo. Ila waswahili wanasema "kuona ni kuamini" kwaiyo siwez kukubishia kwa imani yako pia
@MkulimaKante@moudyswaggz Vijana watembee waone dunia na maajabu yake, kuna vitu wakiambiwa wanadhani mambo ya kusadikika, waingie field maeneo tajwa wakajionee.
@moudyswaggz@MkulimaKante Mzee unapajua kilindi vizur kwelii? Kulee ni zaid ya nomaa! Tulimnyima mzee mmoja lift, kmmk tulizunguka lile eneo zaid ya masaa, mpaka kuja kupata msaada tumetepetaa
@JeremiahMwasanu @Danford_tz Ukifanya critical thinking aisee ndio ile utajikuta imani inapotea kabsaa! Unaanza kuona kuna vitu vingi vya kupangwa na wanadamu tu kwenye hayo maandiko
@JeremiahMwasanu @Danford_tz Maandiko yanasema kwenye Mwanzo 2, "Nayo nchi ilikua ukiwa, tena tupu, na giza lilikua juu ya uso wa vilindi vya maji, roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji" ninachojiuliza kwahiyo Wakat wa uwepo wa Mungu na maji nayo yalikuwepo kabla ya yeye kusema vitokee!?๐ค
@Hon_KibayasiF@askariwahovyo@mentor209 Siku wakipata exposure za gari za kueleweka ndio wataelewa, sasa mtu kazoea cc 1200- 1700 hapa anaona kama hadith za kusadikika
@askariwahovyo@Hon_KibayasiF@mentor209 Yapo maeneo bro unatembea hata 140 kwa masaa 2, tembea kutoka same to Hedaru pale unamwagika hata 160 kwa zaid ya Lisaa mkekaa umenyooka
@MkulimaKante Rich kids hata kama mshkaji wako ukianza kuleta njaa kuna namna wanaanza kukukataa hivi, bora yeye mwenyewe ndio aanzishe hizo mada, kama uko na uhitaji wa jambo flan.