Waliomsaliti Polepole watakuja kutajana siku moja, na hii ya Kutekwa kwa Polepole inaonyesha kuwa Mwana CCM yoyote yule anaweza Kupotea Bila kujali chama chake
Mwandishi pekee aliyesimama na watu anayefanya kazi kwa weledi. Siyo kama kama wale waandishi wanaopangiwa maswali ya kuuliza na vitu vya kuandika. @ThatBoyKhalifax apewe 🌹🌷🥀yake.
Mlikuwa mnaneng'eneka oooh hatuinguliwi...Sisi ni Nchi huru mara hili na like Sasa hivi mnakimbizana na DEADLINE ya COMMON WEALTH.
Kula Chuma hicho @SuluhuSamia .
Lissu amewashika Pabaya
MAHAKAMA zenu zikae chap chap Hon. Lissu atoke LUPANGO