@AzamPesa@azamtvtz Ila kipindi cha Magufuli tulifurahia maisha sana poleni nyie ambao humjafaidi kifurushi cha mwezi cha mpira kilikuwa 15k cha wiki 3k hakika JPM aliwapenda watu wa hali ya chini na ndio maana wafanyabiashara walikuwa na nidhamu
@TweveDevota@MarekaMalili Ungeweka namba mbili ya mumewe na muhusika halafu ukiwa na shida usione aibu kwanini kaficha sura yake mtu kama huyo alitakiwa apigwe video kabisa na kuonesha tumbo lake ili kuwaaminisha watu yani pesa ngumu jamani
@earadiofm@nsajigwa_senior Soka la Tanzania lina mambo ya kipuuzi sana sasa unamfungia mtu miaka minne au mitano atakula wapi? Yani miaka mingi kuliko uhalisia wa kosa