UNABII SIKU 90 ZIJAZO
Tanzania, Tanzania, Tanzania,Hasira ya Mungu i juu sana kwenye nyakati hizi. "Tusipogeuka kama Taifa mambo makubwa yanakwenda kutokea ndani ya siku 90 zijazo". Nabii SS Rolinga
Full Video Link https://t.co/HlcdqaycN4
"Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake.
Basi akatazama huko na huko, na alipoona ya kuwa hapana mtu, akampiga Mmisri yule, akamficha ndani ya mchanga.
"KUTOKA 2:11
TUMAINI KWA WALIOFUNGWA GEREZANI
Yusufu alisingiziwa na kufungwa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa,akakaa gerezani kwa miaka 12, lakini haki yake haikupotea. Mungu alimuonekania na kumpa heshima ya kukaa kwenye Kiti Cha mamlaka.
"BWANA alinitendea sawasawa na haki yangu; Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa.
Maana nimezishika njia za BWANA, Wala sikumwasi Mungu wangu. Maana hukumu zake zote zilikuwa mbele yangu; Na kwa habari za amri zake, sikuziacha. Nami nalikuwa mkamilifu kwake," 2 Sam 22:21-25
UMWAGAJI DAMU,KAFARA,ROLINGA amesema haya;
Kufanya hivyo hammalizi matatizo yaliyopo isipokuwa;
โโMNALITIA TAIFA UNAJISI KWA DAMUโโ
Mnaopanga kutoa kafara;
Mnaomwaga damu za watanzania bila hatia;
Damu hizo hazitawaacha salama ninyi na vizazi vyenu na taifa;
ONYO..!! ONYO..!!
Ninachoamini mimi ni kwamba;
Hakuna dhehebu la โโKIISLAMUโโ wala โโKIKRISTOโโ linalojihusisha na mambo ya kichawi wala kishirikina.
Isipokuwa ni watu wenyewe waliojificha ndani ya madhehebu haya ndiyo wafanyao โโUCHAWIโโ na โโUSHIRIKINAโโ
BISHOP MABOYA AFUNGUKA MWELEKEO WA INJILI TANZANIA .
Kupitia kongamano la maombi ya kitaifa lililofanyika kwenye viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam 28 Feb 2025, mlezi wa mitume na manabii nchini Bishop Danstan Maboya ameitaja Tanzania kuwa chachu ya uamsho wa kiroho..