Kama ungependa kuelimika kuhusu umuhimu wa Kulinda Taarifa zako na Faragha, sikiliza mazungumzo yetu; mimi pamoja na @Imaniluvanga kwenye kipindi chake cha @digitwithimani.
Link hii hapa: 👇🏽👇🏽
https://t.co/UO9WOzjh3g #DigItwithImani
Finally a bill is underway! This is great news to all supporters of the Data Protection & Privacy Campaign in Tanzania @ProtectDataTZ .
Many many thanks to our Parliament @bunge_tz , the Ministry of Information & ICT @wizarahmth and Minister @Nnauye_Nape for listening.👏
The Data Protection Bill is set to be tabled for the first time in Parliament this month, Information, Communication and Information Technology Minister @Nnauye_Nape has said https://t.co/Kb9lDf3wn8
Habari njema kwa wadau wa kampeni ya Ulinzi wa Taarifa na Faragha za Watu Tanzania ama @ProtectDataTZ . Kilio cha watanzania cha kudai sheria itayowalindia taarifa zao pamoja na faragha, sasa kinaelekea kusikilizwa. Asante @bunge_tz , @wizarahmth @Nnauye_Nape kwa kutusikiliza.
Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi ambapo sheria hiyo itasomwa katika mkutano wa Bunge utakaoanza Sept 13.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka wadau kutoa maoni kuhusu sheria hiyo.@ProtectDataTZ
Mr. James K. Laurent, a Digital Activist and a Campaign Coordinator of @ProtectDataTZ explained on Data Privacy and Protection. Data can be protected through
*Condemn
*Education
*Legislate
@DigitalAgendaTz#DarSIG22
Bonyeza hii link kutizama video hii fupi ya mahojiano kuhusu umuhimu wa Kampeni ya Ulinzi wa Taarifa za Watu Tanzania bara na Zanzibar: https://t.co/koVwBEib7w
Ukitambua una haki ya kulindiwa faragha na taarifa zako, hutakubali taarifa zako zozote (picha/sauti/video) zitumike kiholela.
//
This guy sued an Insurance company in Tanzania for misusing his personal data (image); as a meme, for business. Court ordered he gets paid TZS 150M.
Dereva Linyama ambaye juzi Mahakama Kinondoni iliamuru alipwe milioni 150 na Kampuni ya Bima iliyotumia picha yake kibiashara, amesema hiyo sio kesi ya mwisho kwani atawashitaki hata walioiongezea maneno mfano ‘Ndugu abiria EX wangu yumo humu,naenda kuwamwaga’ #MillardAyoUPDATES
Jana gazeti la Nipashe liliandika Makala kuhusu kampeni ya @ProtectDataTZ Tanzania.👏
Tunahitaji sheria rasmi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha watu Tanzania bara na Zanzibar.
#MyDataMyDignity#TaarifaZanguUtuWangu
What You Need to Know About Your #DigitalTrail: Privacy in the Era of Datafication 🔏
Missed the webinar? No worries, follow this link to watch the recording 🔗 https://t.co/HqV9lgWPrY
#ECAPRE2022#DataProtection
REMINDER 🆕
We invite professionals, students from academia, civil society, research centers, and policy centers to submit #ResearchPapers for possible #inclusion in the #PSA2022 proceedings.
For more guidelines, visit https://t.co/hWlQNPa5Lb
#DataProtection#DataPrivacy
Its Thursday, and we have a throwback. Watch last week's TV session at @Mwanahalisitz as we shared the success of our campaign.
//
Tizama mahojiano tuliyofanya na @Mwanahalisitz online TV kuzungumzia mafanikio ya kampeni ya @ProtectDataTZ.
Link: 👇👇
https://t.co/IO4msTG1Jl
NEW REPORT: Discovery of an extensive espionage campaign in Thailand 🇹🇭 involving the abuse of NSO Group’s #Pegasus spyware
In collaboration with @iLawFX and @DigitalReachSEA
https://t.co/6X2bG5nxwa