Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.π
Bunge lipitishe mswaada wa dharura hakuna kwenda Chuo kikuu chochote kama hujapita JKT
Haiwezakana majanja wamekacha kuripoti yani makambi ni empty π π
@MadamVero61349 Yesu alichukiwa kwa sababu ya kuuweka wazi unafiki wa viongozi wa dini ambao ni hao wafarisayo na masadukayo mbona hili liko wazi.
Na sababu ya kuuawa kwake ni vile aligusa maslahi ya hao viongozi, maandiko yako wazi kabisa.
@MadamVero61349 Haujajua maana ya neno mahubiri bado.
Ni wapi Yesu alipokuwa akihubiri alikuwa akiwasema watu?
Zaidi ni kwamba kila neno lake lililotoka lilikuwa ni neno la uzima.
Mahubiri yanapaswa kubase kwenye neno la Mungu, siyo kusemana hovyo hovyo.