@AbdulAlly253493@Oziko_Jo@Positivenga1 ๐๐๐ wanataka waone screenshort ya miamala na social platform post za utajiri ndo waamini, kumbe kwenye ground mambo yapo tofauti mno, uyu dogo yupo online kuwaelimisha ili na yeye apate pesa online ๐ mwisho wa siku akiwapostia katengeneza 5M apa apa bongo wamkejeli tena
@AbdulAlly253493@Oziko_Jo@Positivenga1 Mwamba ni mkali wa cybersecurity na amewekeza muda wake wote kwenye ilo, mtu ana skills kiasi cha kumpangia mteja malipo sisi tupo apa tunabeza ๐
@AbdulAlly253493@Oziko_Jo@Positivenga1 Uyu amekomaa na anachofanya kwa zaidi ya miaka 10 kufikia rate iyo kitu ambacho kijana wa sasa uvumilivu wa ivyo hana wanataka in 3yrs awe na mafanikio tena makubwa
@AbdulAlly253493@Oziko_Jo@Positivenga1 Sasa mtu kama huyu akisema anachotengeneza kwa mwaka lazima aonekane mchawi au anawadanganya wadau ili walipe ada na hawa watu wa kazi online hawatoi kitu bure as long as kinampa mtu skills wao wanauza tu
@AbdulAlly253493@Oziko_Jo@Positivenga1 Yaah shida ya sisi waafrica wengi tunawaamini na kuwasikiliza zaidi wale ambao mafanikio yao wameyaonyesha na kubeza wanaoanza na kuwapa uhalisia wengine kama mafole, ni ukweli kufikia rate iyo watu wapo kwenye game zaidi ya miaka 10 now na hawamfundishi mtu wapo bzy na kazi
@Oziko_Jo@Positivenga1 Uyo dogo kaamua kutoa iyo siri na inaukweli mkubwa ndani yake japo anabezwa mimi kama shuhuda watu wanatengeneza ata zaidi ya hiyo kwa miezi michache sana imagine mtu analipwa 200Usd kwa lisaa na anakomaa masaa sita daily kwa mwaka ana bei gani na hao wapo kimya hawasemi.
@MpitaNjia2000@bohny_chengula Ikiibiwa jumapili unaenda ofisi ipi ya mtandao ambayo wanafungua..? Maana ata matawi ya bank ni machache yanafunguliwa saa nne adi saa tisa na nusu inakulazimu utulie adi jumatatu au upige cm zisipokelewe kikubwa ni kuwa makini na cm yako na card zako za bank basi
@singelizabongo@woopiesnooker Direction na maelezo ya yeye ni nani kayatoa kwa code na anayerekodi ni nyumbu hakuna alichoambulia apo ndo maana mwishoni kamjibu unanichosha
@ZachxPius@EJ_Mwita@siadevinci Kama sisi tumeshindwa kwa miaka kadhaa nyuma kufanya kama ambavyo wageni wanafanya ndani ya nchi yetu kwanini tusiwaruhusu wafanye angalau basi na sisi tupate kujifunza kuwazuia ni sawa na kutaka kubaki tulipo forever
@Iam_Nita@BarakaMaviatu@MarekaMalili Ukitaka kujua imani inaingia mtu afe asubuhi alafu piga kanisani unazika jioni kama haujaambiwa mchungaji yupo jimbo bla bla kibao. Ila kungekua na utaratibu mzuri wawe available anytime pengine tungeweza kufanya ivyo