NIPO KWENYE UCHAMBUZI ILI WANAONIAMINI WASIFE NJAA NA HUWA SILALI KWAAJILI YA MTAA!
KAMA UPO MACHO NA UNAONA HII BASI WEWE UNA BAHATI SANA MAANA KAMA UNAHITAJI MSAADA KWENYE BETTING NAWEKA NAMBA ZA UPAKO
☎️VVIP ~ 0621026907 | WhatsApp|
WEKA HANDLE YAKO MUWEKEZAJI ~REPOST HII✅
Moto mkubwa umezuka majira ya saa 7 usiku eneo la Mwenge sokoni jijini Dar es salaam na kuteketeza baadhi ya maduka katika soko hilo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema bado ni mapema kujua chanzo cha moto ambao umeteketeza baadhi ya maduka katika soko hilo.
Bado haijajulikana idadi ya maduka yaliyoteketea ama kiwango cha hasara kilichopatikana mpaka sasa.
Endelea kufuatilia page zetu.
#CloudsDigitalUpdates