Ukienda kwa therapist au trainer yoyote ukamuuliza njia sahihi ya kuboost confidence yako, atakwambia:
1. Nenda gym
2. Vaa vizuri
3. Jifunze kuongea vizuri na watu
Nimejaribu yote hayo lakini bado sikupata matokeo niliyotarajia
Mpaka nilipoanza kufanya haya ndipo confidence yangu ilipopanda kwa asilimia 80%.
Thread/Uzi🧵⤵️
Mada ilianza hivi : Oya ujue watz wengi tunanunua gari kwa kufuata mkumbo 😆 , ghafla ikakatiza Mazda moja hivi nikaiona kwa mbali , ilikua Mazda CX5. Jamaa mmoja akasema hasa izi Mazda zinakimbiza sana sokoni siku izi , ikanivutia nikatamani kuwajuza wadau (Car enthusiasts) kuhusu izi gari hasa matatizo yake.
Mazda kama ilivyo historia ya hili jina likimaanisha mungu wa mwanga, ufahamu wa juu na hekima aliyejulikana kwa majina “Ahura Mazda”, Japo kuna vyanzo vinadai hili jina lilitokana na mwanzilishi wa kampuni hiyo na lilitumika rasmi mwaka 1931.
Leo ngoja nikufundishe jinsi ya kuanza kuwa winga — ujue kuwa kuwa wingi sio dhambi jamani.
Kwa wazungu wanaita drop shipping. Unakuwa hauna stock lakini una wateja.
Na mimi hapa kwa hii meza ndio napigiaga uwinga wangu — ila wangu mimi ni wa tofauti kidogo.
Thread: 👇
Mfano Nataka Kufanya Tamasha La Hip Hop/RAP Pale Uwanja Wa Mkapa Na Natakiwa Niujaze Ule Uwanja Naomba List Yako Ya Wasanii Kumi Na Tano Wa Hip Hop/RAP Toka Bongo Ambao Kwa Mtazamo Wako Wewe Kama Shabiki Unaona Hivyo Vyuma Vikiwepo Uwanja Lazima Ujae….Haya Twende Kazi👇🏿