It was a wonderful experience to be one of members attended the national conference of the society of Tanzania anesthesiologists which commenced from 11 May to 13th May at JNICC.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa leo ameshuhudia utiaji saini mkataba wa ukarabati wa kivuko cha MV.Magogoni kinachokwenda Mombasa, Kenya kwa ukarabati ambao utagharimu Tsh. Bilioni 7.5 “Tumeipa kazi kampuni ya Kenya kwasababu ya bei ndogo”
#MillardAyoUPDATES
Nilikua nmeanza kudesign book planner for medical students as my long term project ambayo Nilikua nimeplan ku launch it at November
Jana nimekutuna na kazi za mtu with the same concept nilikua nafkiria.
Am disappointed so I will not continue anymore 😢
@Tangaston2 @Eng_Chrisam @Ireneigola Duh! Namtaka fundi maana naanza kuona ndoto zangu za kujenga gorofa zinakuja karibu.
Sikujua kama kuna gorofa ya vyumba 2
@Hussein19089524 Shule za kata tunajengewa sisi masikini, ila wao wanaozijenga hawapeleki watoto wao ndo maana shule ni duni sana hamna walimu wakutosha, hamna vitabu vya kutosha n.k. we need reforms to Tanzania education
Jamani sawa nimezaliwa kwenye familia Marikina lakini sitaki kuishi umasikini, Aya kijana yeyote mwenye mpango mzuri wa biashara ya kuanza na mtaji mdogo anitatute niko tayari kutoa pesa yangu ya boom tufanye kitu
Najua ni ngum sana kushinda hizi zawadi hasa kwa sisi wenye followers wachache.
Kama ukiiona hii tweet on ur timeline please rts 🙏 #Nigiftisheni
Ninaiitaji hii sim ili iweze kunisaidia kwenye masomo yangu sababu simu niyoitumia kwa sasa kioo kimeharibika na betry limeisha.