Mc nash/ aka magumashi/ bingwa wa ropojo kama fundi muhashi/ yeye ananuka dhambi na hip hop inanukia marashi/wajanja wanakataa mademu yeye anakataa ving'asti/
@IAMartin_@ManenoIzaak Na mnukuu mh lema : ipo siku mkitumaliza upinzani, mtahamia na kwenu, kwahiyo msifurahi kuona upinzani tunanyanyasika.. Mwisho WA kunukuu
@bunge_tz@bkisusi Kuna nyakati naamini taaluma , utu, hofu ya mungu na unyenyekevu kwa wananchi unapatikana upinzani. Mpaka swala LA matibabu mnageuza siasa