Other People Wants to be Part of Federation
Warren buffet amefanya makubwa kwenye kampuni, ya Berkshire Hathaway acha apumzike kwa amani acha awape nafasi wengine sababu dunia ya leo imekuwa na ushindani mwingi
sababu ulimwengu wa biashara unabadilika unahitaji focus
"Muda mwingine kwenye maisha nilicho jifunza ni kwamba kwa mchezaji yoyote yule wa mpira wa miguu ni kwamba viwanja vya kucheza mpira huwa vina badilika ila sheria za mpira ni zile zile hazibadiliki na hata ziki badilika huwa ni kidogo hivyo ndivyo ulivyo kwenye maisha yetu
Zero to one, ni kitabu bora cha biashara kuwahi kukisoma kutoka kwa Peter thiel ana tufundisha jinsi ya kuwa na moat( competitive advantage)
na kuchagua segment maeneo maalumu yanayo kutofautisha na wengine kwenye biashara ili kuleta suluhisho na mapinduzi makubwa kwenye jamii.
Kwenye maisha yangu nimejifunza kuwa shabiki wa watu ninao wapenda na hata wale ni sio wapenda lakini pia nisisahau
* Kujifunza kila siku
*Kuwa open minded ( yaani kusikiliza hata upande ni sio upenda)
And always invert
"Mao zedong alitupa ukombozi lakini Deng xiaoping alitupa chakula"
Deng xiaoping kwangu ni shujaa na kiongozi bora kuwahi kuwapo sababu alikuwa tayari kuachana mfumo wa kizamani kwenye uchumi wa China na kujaribu kitu ambacho kingefanya vizuri na hakika alibadilisha historia