@BillyTronix1 Hakuna shanga zilizo onekana hajavaa nusu uchi asa shida nini kwa mwana .... Ila Huwa nasema Kila siku "NEVER MOCK A MAN IN THE FRONT OF PEOPLE"
@INFLUENCERjr 1.Mashabiki wanajua uwezo mkubwa wa Bruno
2.Wanaamini Bruno ndio pass maker pekee
3.Wanaamini Bruno ni MVP wa EPL
4.Wanaamini Bruno ana uwezo wa key pass
5.Hawwamini umri ya Penaldo umekwenda 41