Phiri- Chama na Miquisone ndo inatakiwa iwe first eleven ya Simba. Wakicheza wao tunapata lile soka tulilozoea kuliona Simba, flow nzuri ya mpira, pasi nyingi na chances za kutosha.
Robertinho inatakiwa alitambue hili mapema.
Inaonekana kama mashabiki wa Simba ndio tuna wasiwasi na Phiri kuondoka lakini Phiri mwenyewe wala hana neno. Ukiangalia hii video utajua jinsi Phiri alivyo professional kuliko hata tunavyo dhani ππΎππΎ