@007Hitman_@godbless_lema Tuache uswahili uswahil aisee mtu akiongelea mauji akipinga serikali ni ametumwa tunaelekea wap kama taifa aisee toka ccm waue siasa za upinzani kumeibuka vijama wa hovyo sana kimawazo
@Jane7854101555@_zack255@Baradhuli2 Yaan sindio hapo wameshusha polisi na wanajeshi kama njugu wameblock watu weng kuingia mjin sasa wanajiongelesha eti vijana wamekataa😅😅😅😅