Gari lililotumika kuuwa watanzania kwa Maelfu laonekana kwenye ziara ya Mwigulu.
MUNGU fundi sana, hawa ndio walikuwa wanauwa watanzania kwa MAELFU mpaka mtaani video zipo. Leo gari lao lipo kwenye mkutano wao.
Hakuna kitu mtaficha kwenye dunia hii ya mitandao ya kijamii, kila mtakachokifanya DUNIA ITAJUA kwa uhalisia wake.
Damu za ndugu zetu mlizomwaga zinapiga kelele.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Usikute humu X nilieishia la saba ni mimi peke yangu maana asilimia 80% watu wa humu wako nondo na ni kama wote wanajua kiingereza🙌
NB: Ukibisha fuatilia bio zao utakutana na phd kibao kichizi