Pythagoras;
Hakutuachia tu kanuni mbalimbali za hisabati na muziki bali pia falsafa hii bora kabisa kuhusu maisha, alisema;
"Ni muhimu kufanya vita na mambo 5 Tuu:
1. Maradhi ya mwili
2. Ujinga wa akili
3. Tamaa za mwili
4. Fitna za mji Na,
5. Mifarakano ya familia."
Haipaswi kuwajibika kwa furaha ya mtu mwingine bali kwa furaha yako wewe mwenyewe. Huwezi kumpa mtu mwingine furaha hata kama unampenda vipi. Tena kumbuka, wengi unaotaka wawe na furaha watafurahi hata kwa wewe tu kuwa na furaha!
[8] Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. [9] Lakini akaniambia: โNeema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu.โ Basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake Kristo ukae juu yangu.
~2kor 12:8-9
[6] Basi, pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu. Kwa maana kila mtu anayemwendea Mungu ni lazima aamini kwamba Mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta.
~Waebrania 11:6