@George_Ambangil Kama unaagiza nenda kwa dealer kama beforward,enhence,nk ila hao jamaa wanaokaa chini ya mti uwape pesa zako utakuja kulia kuna jamaa nilimpa 14ml tangu 2024 adi leo karudisha ml.7 bado 7ml na mjini kahama ana madeni kama silikali yetu nenda ofisini kwa hao ma dealer wape advance
@Makaveli_255@George_Ambangil Mile age wanashusha ata japan mimi nilinunua crown site moja japan gari ilikua ina 100k imefika bongo inatoka bandari nachukua ina 65k mzee