Kuna mwanangu yeye ni dereva Bajaj, Manzoni alianza na Bajaj ya mkataba, alipomaliza Bajaj ikawa yake. Ananiambia kwa siku kukunja elfu 35 hadi 45 ni kitu cha kawaida sana na hafanyi BOLT, ni Mbezi to Kariakoo.
Asubuhi sana yupo Road hadi jioni anampa diewaka amletee 20K kukicha
Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) kuweni makini kuna wizi mpya wa pikipiki umekuja. Jana 16/06/2026 maeneo ya Kimara Mwisho kuna pikipiki haikuwa na GPS TRACKER imeibiwa katika mazingira haya
Maelezo ya Bodaboda๐
Alikuja abiria muda wa saa nane mchana akidai anataka kwenda Tabata, aliingia kwanza pale Stationery Kimara kuna bidhaa akachukua, akaingia duka la pili kununua mahitaji mengine huku akimsihi Boda asimuache. Baada ya hapo wakaanza safari kupitia Vinane, kwa Mrema then watoboe mbele zaidi, Kuna mahali walifika Abiria akaomba wasimame aingie Bar apate hata soda / maji kwani alikuwa na kiu na kuahidi kumlipa Boda pesa ya kumsubiri.
Boda akapaki, Abiria akamuomba Boda nae aje apate walau soda au maji, Boda akai-lock chombo akaipaki sehemu nzuri akasogea alipo abiria ili apate nae soda, Abiria aliagiza chakula akamuomba Boda kama anasikia njaa nae aagize chakula yeye Abiria atalipa. Boda alikataa chakula, Abiria akasema; kula tu hata kidogo tunakoenda ni mbali, Abiria akainuka kwenda jikoni kumchukulia boda chips + kuku robo akamsihi akae dk sifuri atarudi, akatia tomato nyingi kwenye ile chips kidali, Lakini kumbe before aweke tomato aliweka/alimwagia madawa ya kulevya kwanza kwenye chakula ndipo akaweka tomato akamuagizia na Bia 2 tatu juu.
Wameanza kula, boda akaanza kuona giza, mwili kuchoka + kuhisi kupoteza fahamu. Kumbe ulikuwa ni mchongo, wenzake na Abiria wakaja wakidai Boda amelewa ngoja atulie kwanza pombe zikiisha ataamka, wakampaki kwenye kona hapo hapo Bar na kumuacha kakaa huku amelalia meza.
Wakachukua funguo wakawacha boda na kupotea kama upepo. Baada ya masaa kupita Boda kuamka hamuoni Abiria na haelewi nini kimetokea hadi yeye kuwa hapo, Baada ya fahamu kurudi sawa akabaini ameibiwa CHOMBO. Ikabidi atoe taarifa kwa Tajiri kuwa kaibiwa Chombo, Tajiri hakuwa na story nyingi alikamata Boda na kumweka ndani. Boda ndo kutoa maelezo yote hapo juu kwamba "Alikodiwa, akawekea madawa kwenye Chakula, akapoteza fahamu na chombo ikaibiwa".
Cada vez que vestimos esta camisola, sentimos o mesmo orgulho, a mesma paixรฃo e o mesmo sentido de responsabilidade do primeiro dia.
Amanhรฃ comeรงa um novo capรญtulo.
Trabalhรกmos muito para chegar a este momento e agora รฉ altura de dar tudo pelo nosso Paรญs, e por todas as comunidades Portuguesas que nos apoiam aqui e em todo o mundo. Acreditem como nรณs! #VAIDARPORTUGAL