BREAKING: Taarifa tuliyopenyezewa ni kuwa UHAI wa Tundu Lissu upo hatarini. Tumetonywa kwamba kuna mpango mchafu wa kumuwekea Tundu Lissu sumu au kumchoma sindano. Lissu, tafadhali, usile chochote huko polis. #TanzaniaLeaks
Ila huyo daudi si kaamua kuokoka jamani na kaamua kumrudia Muumba na kutoa ni moyo na sio utajili ππππ daudi tumpe mauwa yake jamani ππ
Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongosa Sala ya Ijumaa. Thank you God, dunia inapiga hatua na inamtazama mwanamke kwa jicho pevu.