Sijui ni kutokujua hesabu au kutothamini muda
Mtu yuko radhi alipe rent 300k akae Goba na mishe zake ni Msasani , anakataa kulipa 400/450k akae apo apo msasani …
Hivi mpaka siku hizi bado KABILA la mtu linaakisi tabia ya mtu ? Kwamba mtu fulani tabia yake ni kwasababu ya kabila lake ?
Au tabia ni tabia tu regardless na kabila ? 🤔
Ukitaka kuteseka zaidi ya mfungwa wa gereza la Malinovsky lililopo Russia kwa hapa Tanzania. Oa mwanamke masikini anayetoka familia masikini asiye na bikra
Kile kinachokupa pesa leo, kesho kinaweza kisikupatie pesa.
STARTIMES walituaminisha wao ndio wameshikilia game upande wa ving'amuzi Bongo mpaka alipokuja AZAM kuisoma game, akaona gape, akafanya maboresho kidogo and the rest is history.
Taksi, Boda Boda na Bajaji waliipuuzia nguvu ya teknolojia leo hii Bolt, Uber na Farasi wameshikilia hatima za vijana walioamua kujiajiri huko.
Hotels walidhani wameshikilia soko la kutupatia luxury experience kwenye space zao mpaka ilipokuja AirBnB kubadilisha game.
P.S. As long as unamiliki brand au biashara kamwe usiache kuendana na kasi ya mabadiliko.
Wewe vaa vizuri pendeza,tumia simu nzuri,pesa ndogo hizi kama 50k to 100k zisikupige chenga pia uwe mtu wa viwanja sana mwisho kabisa uwe na ghetto lenye choo ndani mixture wi-fi na inch 43 ukutani nakuhakikishia pisi utazichapa sana mpk utakuwa unazitupa nyingine🙌
Unaambiwa nchini China kuna miti inaitwa, “Chinese Bamboo”, ukipanda unaweza kumwagilia mpaka miaka 5 bila kuchipua.
Lakini, mwaka wa tano utakapochipua, ndani ya wiki 6 inakuwa kwa urefu wa futi 90.
Kwamba, ndani miaka 5 chini hutengeneza mizizi imara ya kusapoti ukuaji wa haraka wa ndani ya wiki 6.
Hilo ni somo juu ya “Ustahimilivu na kufanya kwa mwendelezo”, kwani kila kitu kina Compounding.
Unaambiwa nchini China kuna miti inaitwa, “Chinese Bamboo”, ukipanda unaweza kumwagilia mpaka miaka 5 bila kuchipua.
Lakini, mwaka wa tano utakapochipua, ndani ya wiki 6 inakuwa kwa urefu wa futi 90.
Kwamba, ndani miaka 5 chini hutengeneza mizizi imara ya kusapoti ukuaji wa haraka wa ndani ya wiki 6.
Hilo ni somo juu ya “Ustahimilivu na kufanya kwa mwendelezo”, kwani kila kitu kina Compounding.
Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime
-Artificial Intelligence & Machine Learning
-Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech
-Financial Technology (FinTech) & Blockchain
-Cybersecurity & Ethical Hacking
-Biotechnology & Genetic Engineering
Dah🤔
Muhimu sana nyumbani kuwa na ‘Infrared Induction cooker’ ya plate 1,2 au 4 inasaidia sana kama mbadala wa gesi sababu inatumia umeme kidogo.
Gesi ni gharama kuliko umeme, ukiwa nayo hata gesi ikikata unakuwa huna stress (Ifanye kama backup na chakula cha haraka nyumbani)
Wazungu walitumia mpira na dini kuwapumbuza Waafrika.. Wakoloni weupe leo hawapo ila serikali ya wakoloni weusi wanapita mle mle..
Chama anapewe uraia au sio ila uraia pacha hauruhusiwi na mbona hawampi na bongo zozo uraia.
Betting naiamini ila Forex hapana, ina ujanja ujanja mwingi sana🚮
Kuna kwanangu aliachaga hadi chuo akachukua appartment Masaki kwa kipindi kile ilikuwa inamlipa sana ila now amerudi zake home aanza upya!
SABABU KWANINI WIMBO WA ‘FINALE’ WA ALIKIBA NA BIEN ULICHELEWA KUTOKA HADI
KUBADILILISHWA BEAT NA KUFUTWA LYRICS
Katika ulimwengu wa muziki, mara nyingi mashabiki huona matokeo ya mwisho bila kujua safari ndefu iliyopita nyuma ya pazia. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wimbo “Finale”
Ukiwa na akili timamu Vunjabei, Niffer, Chief Godlove, Diamond, Lugumi n.k huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu waliofanikiwa kiuchumi.
Sababu, Hawawezi kuchangia 4% ya GDP ya nchi wote kwa pamoja.
Pili, sio producers wa bidhaa wao ni kama suppliers
Real wealth is productions.
Gen Z anakwambia yeye mpiga picha mzuri, unataka umpe dili la kupiga picha za harusi, unamuomba kazi zake zilizopita uone yeye anakwambia “Bro wewe nipe tu kazi nikipiga vibaya msinilipe”😂😂