@mshambuliaji Mashabiki wa Simba. huwa wanafurahia kuona wachezaji wa Yanga wanaumizwa sijui kwanini Ila inasikitisha vitendo vya kinyama kuungwa mkono..!
Dunia nzima imeshuhudia Yanga ikidhulumiwa.. Lakini sisi Wananchi mmeona tumepiga Yowe? Hapana tulieni,, Tena Shukuruni hamjapigwa mechi ya 7 mfululizo. 😎
Dunia nzima imeshuhudia Yanga ikidhulumiwa.. Lakini sisi Wananchi mmeona tumepiga Yowe? Hapana tulieni,, Tena Shukuruni hamjapigwa mechi ya 7 mfululizo. 😎
“Tumepata taarifa za kiintelijinsia kuwa Dodoma Jiji wamepanga kuvunja wachezaji wetu ili wasicheze Dabi”
Haya tunasubiri uchambuzi wenu kuhusu hili tukio la Dodoma Jiji kumpiga kiwiko mchezaji wenu ili asicheze Dabi.
@Jengos_mss@FKihamu Muacheni aongee maana sehemu pekee anapoweza kutoa maoni ya aina yoyote ile ni kwa Yanga pekee, huko kwengine hawaruhusiwi zaidi wanacho ruhusiwa kufanya ni kusifia tu basi
This is the wish of every player when you are introduced to more that 60,000 fans in a packaged stadium during fans engagement.
Yanga are doing very different things integrating the players with the fans in their Wanainchi Day .
And to make it even more big the club is monetizing from this while fans get the best 👌 experience with the players.
@soka25east
Hao wanaoumia YANGA kuchangia ccm fedha za uchaguzi, Swali kwao je, wakati yanga anadhulumiwa na karia na kamati yake kupindisha sheria ili kuinyima haki yanga walifanyanini kutetea sheria za kimpira zisikiukwe? Kuna wahuni walitaka kuuhaini mpira na wajuaji wengi walikaa kimy
Kuna mambo mawili kwenye hii barua, kwanza ufafanuzi hizo hela ambazo zimetajwa sio za Yanga ni GSM Foundation ambaye ni mshirika wa Yanga kwenye charity na donations. Mwisho kabisa kwa kiwa taarifa hii imeleta Taharuki, TUMEOMBA RADHI. Mwisho kabisa YANGA BINGWA