@fumbokhanJr Fomula ni MAGAZIJUTO= MABANO;GAWANYA;ZIDISHA; JUMLISHA;TOA.
Ila kwenye hesabu yetu kuna Mabano na Gawanya, na ili utoke kwenye mabani lazima uzidishe kwanza
So inakuwa 6รท2(1+2)
Tunanza na mabano (1+2) =(3)
6รท2(3)=
Kifuatacho ni kugawanya 6รท2=3(3)
Tunazidisha 3ร3=9
So jibu ni 9