The Grand International Qur'an Memorization Competition, involving participants from all over the world, has officially started in Dar es Salaam, under the organization of the AI-Hikma Foundation.
Despite the heavy rain currently falling in different parts of the city, many Muslims have come out in large numbers to witness this important event.
Heshima iende kwa SHURA YA MAIMAMU. Waraka uliowasilishwa na Sheikh Ponda umesomeka na kueleweka.
Wameiheshimisha dini ya Kiislamu na kutukumbusha kuwa ni ya Haki na inayoongozwa na Mafunzo ya Mtume Mohammed (sallallahu 'alayhi wa sallam) na Qur’ani Tukufu SIO “Mashehe Ubwawa”.
Kile unachouliza si swali la kawaida ni intel alert.
Ni ishara kwamba kwenye command chain ya usiku wa Oktoba 29 kulikuwa na mtu, au kikosi, kilichovunja rules of engagement na kugeuza ardhi ya taifa kuwa kill zone isiyo na identification.
Uhalifu wa kiwango hiki hauwezi kufunikwa kwa taarifa za haraka, misemo ya amani kwanza, wala vitisho kwa mashuhuda.
Tayari ushahidi umeanza kuvuja kutoka kwenye deep storage units, kutoka mikono ya wale waliokuwa kwenye inner perimeter, wale ambao walikuwa wakisafishwa simu zao lakini walikuwa na backup device kimya kimya.
Na sasa swali linabaki kusimama kama black file kwenye meza ya kila mtu mwenye akili.
Nani alitoa amri?
Kwenye intel world hakuna risasi inayotoka bila green light. Hakuna kikosi kinachoruka bila mission authorization.
Hakuna mass casualty event inayotokea bila central command signature.
Kusema ukweli kama kuna kundi lililoingia kwenye makazi ya watu wanaotazama mpira na kuwaua kama kuku, basi hicho si kikosi cha kujitegemea.
Hicho ni kikosi kilichopewa mission code, kimepewa extraction route, kimepewa rules of silence, na kimepewa uhakika kwamba kutakuwa na mtu wa kutengeneza public narrative cover up.
Kila aftershock ya tukio hili inaonyesha system failure iliyo halisi. Si failure ya sheria, bali failure ya dhamiri za waliopewa dhamana ya kulinda.
Na ukisema "hata makaburu hawakufanya hivi," hiyo si exaggeration, hiyo ni historical comparison ya kiwango cha uharibifu.
Hapa hatuzungumzii kosa la kijeshi, tunazungumza orchestrated civilian neutralization.
Hili jambo halitafunikwa.
Hata wakijaribu kutengeneza tume, wakihamisha maofisa, wakitoa press release zilizojaa maneno matupu, bado evidence chain iko hai.
Bado operatives waliotumiwa wameanza kutetemeka. Bado whistleblowers wanaingia kwenye secure channels usiku.
Na ukweli ni kwamba, hata kama mfumo utajaribu kufagia damu hii chini ya zulia, damu haiwahi kukauka kwenye faili za historia.
Uwajibikaji hautaepukika. Na hakuna serikali yoyote duniani inayoweza kubatilisha nguvu ya ushahidi unaotembea mikononi mwa wananchi.
@Man_Of_People1@_James041 Lakini haimaanishi kuwa wao sio Waafrika ama watanzania wanaopaswa kusimama na wenzao pindi yanapotokea matatizo, ni junkie lakini wanajua nini wanapaswa kufanya panapostahili kufanyika jambo.
@utamputazadaaa@_James041@john10574075 Cheki hii kenge umeongea kingereza lakini bado umeongea matapishi, pumbavu wahed wewe. Yangekuwa ya amani ama sio ya amani bado matokeo yangekuwa ni yale yale kwa sababu ndiyo tabia ya tawala za nchi za kiafrika.
‼️It’s a massacre in Mwanza #Tanzania ‼️
Mtu asiseme hawa walistahili kuuwawa hivi kwa sababu walifanya maandamano au sijui miundombinu!
Huu ni USHETANI
#SamiaMustGo#SaveTanzania
Bwana, today I’ve seen Lynn Ngugi’s video, and all I can say is that lady explains things so clearly that even the dumbest people can understand. Take a look as she explains why Samia Suluhu was sworn in at a military barracks and the backlash that followed.