It’s a fact that some people will hate you because you are exactly what they wished but failed to be. They won’t hesitate to spread rumours and gossip about you. This is a test from the Almighty. Don’t retaliate. Let the good you do speak for itself.
Mkali Comparison ya janja haipo sawa kwa sababu inafanya dollarization Fallacy, kupima thamani ya maisha ya ndani kwa kutumia sarafu ya nje. Thamani ya mshahara inapimwa kwa uwezo wake wa kununua bidhaa za ndani sio kwa kiasi cha usd unachoweza kubadili.
Inflate rate US =3.8%
Inflation rate TZ = 4%
Purchasing power of both countries inashuka at a very close rate
Kama kila consumer anatumia original currency ya nchi yake hii comparison inakua haina mashiko.
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Mbona inatumika nguvu kubwa dhidi ya Madenge kusema aliyonayo? Kwa nini Hamtaki aseme? Kwa nini asisikilizwe? Kwa nini tuaminishwe story za upande mmoja? Kwa nini Hampendagi kusikia msiyoyapenda? Hata Shetani alikua Malaika!!