Bro, unawezaje kumsingizia Kiongozi wako jambo la uwongo kubwa kiasi hiki, unapata faida gani?
Kwahiyo kumbe mwenzetu nyuma ya pazia huwa unawasiliana na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa, mpaka inafika hatua anakulisha matangopori dhidi ya Viongozi wenzako ili uisaidie Idara ya Usalama kukivuruga na kukigawa Chama na wewe wala hushtuki unaona ni sawa.
Sasa kwasababu huwa unawasiliana na huyo Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa takuomba umuulize, akwambie yeye na watekaji wenzake waliwapeleka wapi ndugu zetu akina Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, Jacob Mlay, Humphrey Polepole, Amani Mangelo, Dioniz Kipanya, Chaula, Daniel Chonchorio na wengine.
@Jambotv_ Sasa Kenya wana matumizi na hao siafu kweli? Sidhani wangewaachia hao wanaojua wanachofanya. Wao wakiwabakisha hapo Kenya watafanya nao nini?