"Kila kuchao tunapatana na watu tofauti tofauti,wenye tabia tofauti tofauti, hii ni kutokana mazingira waliotokea ni tofauti tofauti, cha muhimu chukua unachoweza chukua ujifunze ukiona TABIA haziendani wee mchujee( mpunguze) maarifa yake bado madogo shika mbili 2."