FUN FACT
Gwaride la kwanza la Macy’s mwaka 1924 lilikuwa na wanyama halisi kutoka Central Park Zoo.
💬 Kati ya matukio haya, lipi limekufundisha au kukushangaza zaidi?
#HistoriaYaLeo#OTD#History#27Novemba
🗓️ HISTORIA YA LEO | 27 NOVEMBA
WALIOZALIWA LEO
- Bruce Lee (1940)
Muigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano.
- Jimi Hendrix (1942)
Mwanamuziki na mpiga gitaa.
- Kathryn Bigelow (1951)
Mwanamke wa kwanza kushinda Oscar ya Best Director.
- Bill Nye (1955)
- Caroline Kennedy (1957)
5. SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI NA ZA LAZIMA
Tarehe 27 Novemba 2026, dunia inaadhimisha kwa mara ya kwanza siku hii iliyotangazwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Lengo ni kuhamasisha hatua za kumaliza ndoa za utotoni, za mapema na za kulazimishwa.
Papa Francis aliandika kwenye diary yake kuwa alimuona Shetani mara tatu yaani ndani ya gari nchini Argentina, karibu na waimbaji wa kwaya wakati wa Misa, na kwenye kikao na maafisa wa Vatican. Anasema hatasahau macho wala sauti yake. Kitabu kimezinduliwa rasmi leo 24/11/2026.
💡 FUN FACT
Ndege ya Ethiopian Airlines Flight 961 ilikuwa Boeing 767. Rubani alijaribu kuitua juu ya maji, lakini ndege iligonga maji na kuvunjika vipande.
💬 Ni tukio gani kati ya haya limekushangaza zaidi?
#HistoriaYaLeo#OTD#History#23Novemba
🗓️ HISTORIA YA LEO | 23 NOVEMBA
WALIOZALIWA LEO
- Franco Nero (1941)
Muigizaji wa Italia.
- Bruce Hornsby (1954)
Mwanamuziki wa Marekani.
- Robin Roberts (1960)
Mtangazaji wa televisheni.
- Asafa Powell (1982)
Mwanariadha wa Jamaica.
- Miley Cyrus (1992)
Mwimbaji na mwigizaji.
5. DOCTOR WHO DAY: SAFARI YA MUDA ILIANZA
Tarehe 23 Novemba 1963, kipindi cha kwanza cha Doctor Who kilirushwa hewani na BBC. Kilianza safari ya mfululizo wa kisayansi uliodumu kwa miongo mingi na kuwa sehemu ya utamaduni maarufu duniani.
🗓️ HISTORIA YA LEO, 20 NOVEMBA
WALIOZALIWA LEO
- Nadine Gordimer (1923)
Mwandishi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
- Robert F. Kennedy (1925)
Mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za kiraia.
- Joe Biden (1942)
Rais wa 46 wa Marekani.
- Bo Derek (1956) – Mwigizaji wa filamu
HATA ukiwa na nyumba nne Mbweni.
Ipo siku watu usiowajua, wataishi humo na wala hawatajua kama uliwahi kuishi. Usikanyage watu ili kupata vitu. Tendea watu mema. Matendo mema yatakufuata kaburini na hata mbinguni.
Ikawe kareem Ijumaa yako.
‼️EXCLUSIVE‼️
Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”.
Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌
#FreeTunduLissu
💡 FUN FACT
Nadia Comăneci alipata alama kamili ya 10 katika Olimpiki ya Montreal mwaka 1976 akiwa na miaka 14 tu. Mfumo wa matokeo wa uwanjani haukuwa umeandaliwa kuonyesha alama ya 10.0, hivyo alama yake ikaonekana kama 1.00!
#HistoriaYaLeo#OTD#History#12Novemba
🗓️ HISTORIA YA LEO | 12 NOVEMBA
WALIOZALIWA LEO
- Grace Kelly (1929),
Mwigizaji wa Marekani aliyekuja kuwa Princess wa Monaco.
- Neil Young (1945),
Mwanamuziki
- Nadia Comăneci (1961),
Mwanamichezo wa Romania aliyepata alama kamili ya 10 katika michezo ya Olimpiki.
4. DUNIA HUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KUHAMASISHA MAPAMBANO DHIDI YA NIMONIA
Kila tarehe 12 Novemba huadhimishwa World Pneumonia Day. Ilianzishwa mwaka 2009 ili kuongeza uelewa kuhusu nimonia, kuhamasisha kinga na matibabu, na kuhimiza upatikanaji wa huduma bora za afya.