@HELBpage Kufikia Leo mbona hamtulipi pesa na processing batches was so quick, kwani hizi pesa mnazipaka mafuta moja kwa moja ndo mdisburse ama,pay us now wacha story ya ooh we will communicate, what!5024
@HELBpage 5024 ni lini buana hii story ya ety finalizing and working on payment achana nayo just tell us mnalipa lini ama tukujie dooh juu kudisburse nkama imekua ngumu