#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture.
🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: https://t.co/rABmOSM74W
Jaribio la kuifuta Chadema ni jaribio la kuzika matumaini ya Watanzania…
Ni jaribio la hatari na halitakubalika… washauri wa hivi ni washauri wanaotaka kuteketeza Nchi yetu kwa tamaa zao…
Watanzania hawatakubali mfute matumaini pekee ya maisha yao.
BUMUNDA, huna sababu za kuomba radhi kwa kauli yako. Ni kweli MaCCM yanapora mchakato wa uchaguzi. Huo umekuwa msimamo wako na MaCCM tangu enzi za ‘bao la mkono’. Siyo utani. Hata 2020 uliandika 𝕏 ‘matokeo ya uchaguzi siyo lazima ya ndani ya sanduku la kura’. TAPELI umeharisha.