Mimi naye siezi ogopa kushout "konda shukisha" kama nimekaa huko nyuma 😂😂
Hadi huwa nagonga hapo juu na ka coin… Mimi nishukishe buanaa. Mambo madogo madogo haya. Nyinyi watu wa social anxiety shida inakuwanga wapi? Ni self-esteem iko low ama?

@KimaruChrispus Tulikuwa tunavuna mahindi beshte yangu akaiba ile pombe imetengenezwa na asali sip moja nikaskia ni tamu nikapiga jug flush kidogo kichwa ikaanza kuwa mzito namna hii nikajiekelea kwa thaara baridi ya saambili ndio iliniamsha🫠 kufika nyumbani nikaskia tõǰ̣õ mwîǰ̣î îñàďì ãĝukîñŷã