@marto254_ wueeh nakumbuka nishai swing na mlango ya hii ikaanguka ikavunja vikombe na sahani zile zilikua zimeekwa ati ni za wageni...mathe aliendea adi zenye zilikua kwa kitchen ati nivunje adi izo na nikimaliza niende pia yeye nimvunje💀 dark days those ones💔😂😂