Nadhani katika vitu vinavyonipa mawazo sana hadi sasa ni kifo cha bosi wangu Ruge!imekuwa ngumu sana kwangu kuamini! Inaniuma sana kila nimfikiriapo! ni ngumu mno upande wangu..Bado huwa najaribu namba yake kila wakati nahisi inaweza pokelewa japo mara ya mwisho.π