@MariaSTsehai Mbona hiz location mnatuchanganya jna kule tikitok location ilikuwa kufika kwenye jengo la UN ndio tukusanyike pale kwanza sasa mbona tena tunaambiwa mnazi mmja ndio tutakapo kutana
@MariaSTsehai Al Jazeera imetolewa kwenye ving'amuz nyote vya tanzania sio azm tv tuu mpka kuna chanel za kenya baazi pia zimefutwa kwenye king'amuz cha startimes
@MariaSTsehai Yani barabara ya morogoro load nyeupe kabsa halfu watu wako mtandaoni wanasubilia waone nani na nani wanatoka tokeni jmni mda ndio huu vituo vyakupiga kura hakuna watu pia