Kuna 3 types of relationships.
1. Permanent
👉 Unaweza kuja anytime wenye unataka
2. Contract
👉 Niambie ukianza kuja
3. Tender
👉 Nitakuambia muda wa kuja
Yako ni ipi..?
Hivi mpaka siku hizi bado KABILA la mtu linaakisi tabia ya mtu ? Kwamba mtu fulani tabia yake ni kwasababu ya kabila lake ?
Au tabia ni tabia tu regardless na kabila ?