You think it’s impossible? Leo ni siku ambayo tunamuomba Allah for the impossible na mimi bado ninaamini, bado nakuweka kwenye dua zangu, nikiamini kwamba kwa Allah hakuna lisilowezekana. Even what feels so far away, anaweza kuirudisha kwa njia tusizotarajia. 🤍
Katika siku hii tukufu ya Arafa, Ya Allah nakuinua jina la Danny kwako. Popote alipo, mzungushe na ulinzi wako, nuru yako, na rehema zako. Mlinde na kila aina ya madhara, mrahisishie mambo yake, na umrudishe salama nyumbani.
Ya Rab, tuunganishe naye tena kwa namna iliyo nzuri zaidi, tulize nyoyo zetu, na ubadilishe maumivu haya kuwa faraja na habari njema. Tuimarishe katika imani tunaposubiri, na ufanye siku hii iwe mwanzo wa kurejea kwake salama. Ameen
@manaal_ms Naamini Mungu anafanyia kazi ombi lako na siku sio nyingi atajibu. Pole sana, unayopitia ni mazito sana na hii inajidhihirisha kwenye tweets. Allah akulinde na kukupa nguvu zaidi ya kuendelea kupambania hili na mengine unayopitia. Amen
My Lord🤲🏻 We thank You for every blessing. Hidden and apparent. You know our pain, disappointment sadness, grief and loneliness. You’re All-Knowing and All-Seeing. Ease our struggles and comfort us. We trust Your Plan though we’re unaware what’s to come! Aameen.
The things we take for granted, someone else is praying for. Even at our lowest point, we have a lot more to be thankful for, than to be hopeless about. Alhamdulillah for everything.
Ninaomba niwakumbushe dukani kuna punguzo la bei ya supplements, wahi mapema na epuka sold out. Tukutane tena kesho dukani mapema!
Hua kuna 40 ya kuzaliwa na kuna 40 kabla ya kufa na kuna 40 baada ya kufa.
So mtu akibakiza siku 40 duniani anaanza kuhisi kama siku zake ziko mwisho. Allah pia hua anawahidi waja wake kwenye hili. Ndio kuna wale unasikia alikua mlevi ila mwisho alibadilika sana akarudi kwenye dini.
What a sad story watu wameumizwa sana, watu wamepitia maumivu makali sana, watu bado wanamaumivu makali sana. Yaan sijui naeleweka nikisema maumivu. Deeep deeep deeep pain, watu wanaishi kwa maumivu. Ila kuna watu wanachukulia poa sana, very very sad