Kuna ngoma nyingi za hip-hop zilizojaa diss kwa wasanii wakubwa, lakini moja kati ya diss zilizotikisa ulimwengu ni ile ambayo Eminem alimtupia Michael Jackson mwaka 2005.
Kwa wengi, ilikuwa ni mchezo wa kawaida wa rap, ambapo Eminem alimtani MJ kwenye wimbo wake "Just Lose It."
Lakini kwa Michael Jackson, haikuwa mchezo.
Eminem alimdhalilisha, akimcheka kwa kashfa zake za mahakamani na maisha yake binafsi.
Kwenye video ya wimbo huo, Eminem alionekana akiwa amevaa mavazi ya MJ, akidondoka kwenye sofa na pua yake ikayeyuka, akimaanisha skandali za upasuaji wa plastiki.
Watu walihisi kuwa Michael Jackson angemjibu kwa wimbo mwingine, au angemshtaki mahakamani.
Lakini MJ alikuwa mtu wa akili nyingi kuliko wengi walivyodhani.
Hakutunga diss track, hakupiga kelele mitandaoni, wala hakukimbilia mahakamani.
Badala ya kufanya yote hayo, Michael Jackson aliamua kununua hakimiliki ya muziki wa Eminem kwa dola milioni 370.
"Sijawahi Ku-fake, nikwambie nna kitu ambacho sina, so wherever am Telling you am good Trust me, cause wakati nilikuwa sina nilikuwa nakwambia, Usikate tamaa, now its a Different story"
β Darassa.
Jamaa kasema hajawahi kuuza Drama only Muziki wake
Video kwa Commentsπ
HOTUBA YA MWISHO YA MUAMMAR GADDAFI β UKWELI ULIOFICHWA
Katika historia ya kisasa, ni viongozi wachache walioweza kusimama kidete dhidi ya nguvu za mataifa makubwa kama alivyofanya Muammar Gaddafi. Aliiongoza Libya kwa zaidi ya miaka 40, akijitahidi kuhakikisha wananchi wake wanapata maisha bora, lakini mwisho wake ulikuwa wa kusikitisha.
Hotuba hii ya mwisho, iliyosemekana kuandikwa naye kabla ya kuuawa mwaka 2011, inaonyesha maumivu ya kiongozi aliyewapigania watu wake lakini akaishia kusalitiwa na wale aliowasaidia.
Endelea ππ½
Unajua Hata Kipindi
Nahreal
Lamar
Dr.Chali
Man Walter
Duke
Pancho (Rest In Peace)
Tudd
Dunga
Mazuu
Na Wengineo, Wakati Wako Kwenye Prime Yao Walipojinadi Wao Ni Bora Mliwagomea HiviHivi, Leo Ndoβ Mnawataja Tena Na Kuwaita Ni Bora!!π€
Hata Brothers Waliopita Kabla Yao Wapo Waliogomewa Na Fans, Leo Tunawakumbuka Na Kuwasema Walikuwa Nomaaa Saanaa!!
Kwa Utamaduni HuuHuu Wa Kuthamini Kitu Kikishapita Ndio Tunaurudia Kwa Zombi Leo!!
2035 Hukooo Mtakuja Kusema Dogo Alikuwa Mnyama Saaanaaa!!
πππ¨π π§π’πππ¨π§π π¬π ππ¨πππ¨πππͺπ π‘π ππ¨πππ’ππͺππ§΅
( LIL WAYNE vs JAYZ)
1βΎHakuna msanii ,amewahi kusimama na akakiri kuwa jayz siyo msanii mkali,
Hakuna Msanii aliyewahi kusimama ,na akasema havutiwi na akili ya biashara aliyonayo jayzπ
ZIFAHAMU BARABARA HATARI ZAIDI DUNIANI π²π
1. GUOLIANG TUNNEL,china.
Barabara hii ya mita 1200 ambayo imepasuliwa kwenye mlima kama inavyoonekana hapo!
Mkufu anaopendelea kuvaa Burna Boy shingoni unatokana na picha maarufu ya Fela kuti akiwa ameinua mikono juu
Nikiwa namaana kuwa kidani kwenye mkufu wa Burna Boy ni sura ya Fela Kuti
Burna Boy amekuwa akivutiwa na muziki wa Fela toka zamani na kumfanya
Bilionea MNigeria Femi Otedola alipoulizwa kwenye interview, ya Simu na Mtangazaji wa Radio, "Sir ni kitu gani unachokumbuka kilichokufanya uwe na furaha maishani?"
Femi alijibu:
"Nimepitia hatua nne za furaha katika maisha yangu na mwishowe nilielewa maana ya furaha ya kweli."
Hatua ya Kwanza ilikuwa ni kutafuta Mali na kulimbikiza. Lakini katika hatua hii sikupata furaha niliyoihitaji.
Nikaingia hatua ya pili ya kujinunulia vitu vya thamani. Lakini niligundua kuwa vitu vyote hivi vinakupa furaha ya muda tu ambayo haidumu.
Nikaingia hatua ya tatu ya kufanya miradi mikubwa. Ni katika hatua hii nilikuwa ninasambaza 95% ya Diesel Nigeria yote na Africa Kwa ujumla. Pia nilikuwa mmiliki mkubwa wa Vessel Africa na Asia. Lakini pia hapa sikupata furaha niliyokuwa nimeifikiria.
Hatua ya nne ilikuwa ni kipindi ambacho Rafiki aliniomba kununua Wheelchairs Kwa ajili ya watoto walemavu. Walikuwa kama watoto 200 hivi.
Baada ya kuombwa na rafiki yangu nilinunua Wheelchairs 200 mara moja.
Lakini pia aliniomba niambatane naye ili nikawakabidhi watoto zile wheelchairs. Nilijiandaa nikaambatana naye.
Nikawagawia zile wheel chairs Kwa mikono yangu mwenyewe. Niliona furaha ikitawala kwenye nyuso za hawa watoto. Nikawaona wamekaa kwenye wheelchairs, wakizunguka na kufurahia.
Ilikuwa ni kama wako Picnic wakisherehekea ushindi wa bahati nasibu.
NiIihisi furaha ya kweli ndani yangu. Nilipotaka kuondoka mtoto mmoja alinishika miguu yangu. Nilijaribu kujinasua taratibu lakini alinikazia macho akinitazama usoni.
Niliinama chini nikamuuliza, kuna kitu kingine unahitaji?
Jibu alilolitoa mtoto huyu sio tu kwamba lilinipa furaha bali pia lilinifanya nibadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha. Mtoto huyu alisema:
*"Ninakuangalia ili niikumbuke Sura yako, siku nikikukuta mbinguni niweze kukutambua na kukushukuru tena."*
Je Wewe mwenzangu, utakumbukwa Kwa lipi utakapoondoka kwenye hiyo Kampuni, Ofisi, Biashara, Kazini au mahali unapoishi?
Je kuna Mtu atatamani kuuona uso wako tena siku za usoni?.π
..Pia kama bado sija ku ADD kwenye group la "ELIMIKA WHATSAPP" basi nitumie meseji apa, tujumuike wote...π
https://t.co/4qv5w2oXtp
Basi nita ku ADD ni free tunashare mambo ya muhimu tu kujifunzaπ
Wayne Rooney, 12th February 2011
Alejandro Garnacho, 26th November 2023
Two acrobatic efforts written into the list of all-time great Premier League goals π«
KUTOKA MAKTABA π
ISRAELI NI AFRIKA
Israel ni nchi ya kisasa iliyonzishwa 14 May 1948 lakini kabla ya kuanzishwa nchi hiyo nyuma yake in historia ndefu sana, kama mnavyojua kwa Waislam imetajwa katika Qur-an na Wakristo imetajwa katika Biblia. Japo katika vitabu hivyo vya π
ISRAEL VS PALESTINA
- Gesi na Mafuta
Ni bahati mbaya sana mjadala kuhusu Israel na Palestina mitandaoni imeegemea mno kwenye historia za kiimani.
Mgogoro huu uko very complex na una factors nyingi.
Nitajadili moja ya factor ambayo wengi hawaifahamu.. Gesi na Mafuta.
Thread..