@Labella_Mafia95 Wabantu matajiri wapo wengi tu. Sema wamejitengenezea utajiri wao wakiwa ndani ya siasa kuliko ambavyo walikuwa nje ya siasa.
Kwa kuwa siasa yetu hairuhusu kujilimbikizia mali, wamanga ni chaguo la ubia kwa wabantu wanasiasa matajiri kuliko wabantu wenzao
@gabyconscious Mimi naumwa figo. Sikuwahi kutumia pombe, sigara wala mitishamba. Ni presha tu niliyokuwa natembea nayo bila kujuwa.
Nafanya Dialysis Muhimbili mwaka wa 10 sasa. Nimefilisika kabisa.
Atakayewiwa kuni-support, a-comment neno 'SUPPORT' nitatuma namba na jina inbox.
Asanteni
@Abbymexahnk Mimi naumwa figo. Sikuwahi kutumia pombe, sigara wala mitishamba. Ni presha tu niliyokuwa natembea nayo bila kujuwa.
Nafanya Dialysis Muhimbili mwaka wa 10 sasa. Nimefilisika kabisa.
Atakayewiwa kuni-support, a-comment neno 'SUPPORT' nitatuma namba na jina inbox.
Asanteni