Dear wafalme,
Kuna njia moja ambayo wanawake wengi wanaitumia kupima Uimara/Udhaifu wako.
-Kukupandishia Sauti
Ukishindwa kujua namna ya kudili na hili, utakuwa mwanzo wa kukuvunjia heshima
Haitoishia hapo ila itakuwa siku zote za maisha yako.
BE A MAN.
Mtu akiweka email yako kwenye hii website inaonyesha location uliyopo, locations ulizokuwepo, mitandao ya kijamii uliyotumia sometimes mpaka namba za simu😳