Achille mbali ajali ya moto iliyotokea huko Crimea.Kuna ajali nyingine ya moto imetokea huko Utkina Zavod huko St. Petersburg. Mwaka huu putin lazima atambue uzembe wake alioufanya kwa kuivamia Ukrane hakikuwa cha busara.SLAVA UKRAINE 🇺🇦 🔥
Askari hawa wa Ukraine leo hii asubuhi wamekinukisha huko Bakhmut wamefanya Counter-offensive baada ya kuona askari wa Russia wanasumbua hadi naandika taarifa hii askari wa Russia bado wanapelekewa moto wa hatari,Habari zaidi zitafuata baadaye. SLAVA UKRAINE 🇺🇦
Wakati tukisubiri Counter-offensive ianze wakati wowote kuanzia sasa,Ghala za kuhifadhia milipuko na mizinga mbalimbali kwenye mstari wa mbele ghala hizo zimeendelea kuungua kutokana na ajali za moto unaosababishwa na uzembe wa putin kuvamia Ukraine.SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
Ukreine: Ulinzi wa anga umeharibu makombora 15 Jana usiku.
Vikosi vya ulinzi wa anga vya Ukraine vimedungua makombora 15 kati ya 18 yaliyorushwa na Urusi Jana usiku, na kuwajeruhi takriban watu 34 katika mji wa mashariki wa Pavlohrad, lakini hawakufanikiwa kuipiga Kyiv.
Afrika Kusini inajaribu kumshawishi Putin asiende huko.
Maafisa wa Afrika Kusini wanajaribu kumshawishi Putin asije Afrika Kusini kwenye mkutano wa kilele wa BRICS mwezi Agosti kutokana na kibali cha ICC cha kukamatwa kwake, gazeti la Sunday Times la Afrika Kusini limeripoti.
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya mashambulizi makali kwenye baadhi ya maeneo ya Bakhmut katika Mkoa wa Donetsk, na kusababisha wanajeshi wa Urusi kuacha baadhi ya nafasi zao na kurudi nyuma, ameripoti Oleksandr Syrskyi, kamanda wa Vikosi vya ardhini vya Ukraine Leo Mei 1.
Around Mar'yinka, a growing number Russian militants refuse to participate in hostilities.
Their morale is abysmal due to heavy casualties, poor ammunition supply, lack of protective equipment, and being forced to conduct assaults without heavy armour or artillery support.
1/2
#Ukraine: A Russian T-90S tank was destroyed by the SBU "Alpha" SSO using munitions dropped from a drone equipped with thermal optics.
A quantity of T-90S tanks, originally intended for export, was instead transferred to the Russian army to partly compensate of losses in armor.
Hongera Jeshi la anga la Ukraine kwa kuweza kudungua Cruise missiles 21 kati ya 23 ambazo kama zingeweza kufikia malengo yake zingeleta madhara makubwa sana.Hongera pia kwa kitengo cha Air Defence mnafanya kazi kubwa sana.SLAVA UKRAINE 🇺🇦