Kama kweli taifa hili linataka maridhiano ya dhati, ukweli ndiyo utakaoliponya. Ukweli huo unapaswa kuwa kama upanga ukatao kuwili, usioangalia sura wala cheo cha mtu. Kutokana na mapungufu ya wazi ya ripoti hii, ukweli huo utapatikana tu kwa kuundwa kwa Tume Huru ya Kimataifa.
Akikupenda kweli, Ataendana na standards zako hatohisi kupoteza uhuru wake ama kuonewa na kukandamizwa. Kumbuka wewe ndio unamchagua yeye na sio yeye anakuchagua wewe. Ndio maana utamtolea Mahari.
@expertDatingAdvice
@AfyaUpdates Hapa ndio mnakoseaga lwenye hizi kauli
Kuwepo kwenye fridge haimaanishi ni mkosaji na alistahili na kubaki hai haimaanishi ni mwema.
Tujifunze kuujua ukweli na kuusema kama ulivyo pasipo matisho. Kwakua kwa hakika hkn atakaye ishi milele,na sio swala la tumekosea nn.
Habari wakuu,
Nimeona na mimi nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha.
Epuka kuvaa marangirangi
Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya rangi,rangi 3 tu zinatosha kukutoa bomba.