This was 2021 2022
DNA fragments found in the covid jabs
All concerns were never adressed
In Kenya, did we even take those so called vaccines in the lab๐ค
It was a health genocide
Tundu Lissu akiwa bado Ubeljiji mwaka 2022 aliongea na #MariaSpaces kuhusu mgomo wa madereva na akasema wasimsuburi Tundu Lissu aje
Leo Lissu yuko ndani na madereva wenyewe wamejipanga na wamegoma nchi nzima!
Tanzania AMKA!
Tulichokosa na mshikamano sasa tumeshajua TUSHIKAMANE!
Hakuna serikali dhalimu iliyoweza kushinda raia wake ambao wako mamilioni!
@munyamambogo@TBoundBuses msikilizeni Lissu
#TutaelewanaTu
Msikilizeni Tundu Lissu ๐๐ฝ๐ฅ
Yuko tayari kufa - haogopi na ana risasi 16 na moja bado anatembea nayo mgongoni!
Lakini muhimu ametuambia TUSIOGOPE maana hatuna hatia
Wenye hofu ni wenye hatia! ๐ฏ true!
Alafu nyie mnaofanya biashara za kisiasa na CCM Lissu kawaonya ๐
Penda sana hii spirit ya Tundu Lissuโค๏ธ
Really he is a living legend y not only of Tanzania but the whole world! He has faced evil and looked it in the eyes and lived!
All Glory to God ๐๐ฝ
#FreeTunduLissu
One of the most important lessons of 2024 is that communication and public participation are critical pillars of governance.
The reason the Finance Bill issue snowballed into a security and governance crisis is that it was wrongly viewed in isolation as a Treasury matter, and not the multidimensional issue that it truly was.
We have learnt our lessons as a Government. That is why we are now institutionalizing public participation even in the security sector.

@MariaSTsehai Kumiachia @TunduALissu sio tafadhali ni demand. Kesi ashaawashinda, hana hatia na halina definition nyingine. Tarehe 29 inatuhusu sote.
#FreeLisu
@MariaSTsehai Hamna haki ya kondoo kwenye koti ya fisi.. Hatukubali. Tukirudi nyuma sisi ndo tumemuua @TunduALissu . Yaani bana kieleweke. Tulizembea akateseka. Waliomteka, je aliyekuwa nao @HecheJohn wangezembea je??